Breaking News
recent

Comming Soon: G Nako ft Ben Pol - Wara wara na mpira

G wara wara kutoka kundi la N2N na kampuni ya Weusi anakuja na snippet (kionjo) cha tack yake mpya inayotarajiwa kutoka hivi karibuni akiwa amemshirikisha mkali wa RnB in Tz Ben Pol na jina la track hiyo ni 'wara wara na mpira'. So wewe kama shabiki wa G wara wara endelea kutembelea blog hii ya kijanja (www.mohamedjaku.blogspot.com) kuweza kuisikiliza/kuidownload track hiyo pindi itokapo. But listen to this snippet (kionjo) cha wimbo huo hapa chini..........

Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.