Msanii wa hiphop Tanzania, Langa Kileo a.k.a Langa amefariki dunia leo
(13th) muda mfupi uliopita katika hospitali ya muhimbili jijini
Dar.Akizungmza na chombo kimoja cha habari, Afisa
uhusiano wa hospitali ya taifa ya Muhimbili, Ameniel Aligaesha, amethibitisha kwamba msanii Langa, amefariki dunia leo hii saa kumi na moja za jioni, baada ya kufikishwa hospitalini hapo juzi jioni.
uhusiano wa hospitali ya taifa ya Muhimbili, Ameniel Aligaesha, amethibitisha kwamba msanii Langa, amefariki dunia leo hii saa kumi na moja za jioni, baada ya kufikishwa hospitalini hapo juzi jioni.
hata hivyo uongozi wa Muhimbili hawana uwezo wa kusema kilichomuua Langa,
kutokana na maadili ya kazi zao, bali ndugu wa marehem.
Kifo cha Langa kimetufika ikiwa ni siku 17 tu tangu kufariki kwa msanii
mwingine wa hiphop na freestyle master Albert Mangwea a.k.a Ngwea.
Mungu ailaze roho ya matehem mahali pema peponi
No comments:
Post a Comment