The most awaited single kutoka kwa Ben Pol, sasa ishafika masikioni
mwako, "Jikubali" single inayotoa matumaini kwa vijana wengi, huku
ikiwataka wengi kutumia muda huu kuutumia vizuri na kufanikiwa kama
wengine walivyo fanikiwa huku akiwataja wasanii kama AY,Jay, Lina, Diamond wasanii wa movie pia kama Ray na Jay B, pila kusahau upande wa wanasiasa akimtaja Zitto Kabwe na wengineo ambao wanaonyesha kuwa na mafanikio katika kazi zao.

No comments:
Post a Comment