Breaking News
recent

"Feza Kessy" na "Nando" waiwakilisha Tanzania ndani ya BBA THe Chase 2013

Big Brother Africa  2013 "The Chase" imeanza kwa kasi 26 may na msanii Feza Kessy na Nando ndio
wanaoiwakilisha Tanzania. kwa mujibhu wa story yake mwenyewe Nando ni mtanzania anaeishi marekani lakini ilimbidi aombe hela kwa marafiki zake kwa ajili ya kupata ticket ya kuja Tanzania kufanya usahili wa BBA, amesema kama angekosa nafasi ya kuiwakilisha Tanzania asinge juta maana pia alikua hajamuona bibi yake kwa miaka mingi, kwahiyo angekuwa kaitumia nafasi hiyo kuja kumuona bibi yake.
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.