habari zenye uhakika kutoka kwa Dr aliekuwa ICU, katika hospitali ya St
Hellen Joseph, zimethibitisha kuwa msanii aliekuwa na Ngwea wakati mauti
yanamkuta, ambae yeye pia alikua hoi hospitali, anaendelea vizuri, na
anaongea kwa sasa, ila uchunguzi wa kile kilichosababisha kufikishwa
hospitali hapo bado unaoendelea.
baada ya kuongea nae machache hayo, tulimuomba kuongea na mgonjwa, lakini Dr alikataa na kusema kuwa kwa kuwa anaongea basi tuongee na ndugu zake ambao wanakuja kumjulia hali hospitalini hapo
No comments:
Post a Comment