Breaking News
recent

Breaking News: Albert Mangwair Afariki Dunia, Fahamu na kilicho sababisha kifo chake

Rapper, Freestyler, Ngwea amefariki dunia leo hii katika hospitali ya St Hellen iliyoko South Africa,

Habari kutoka kwa mtu wa karibu na Rapper Ngwea, aliejitambulisha kwa jina la Hamisi, amesema Ngwea alikua kule kwa mualiko wa kufanya show South Africa, ambapo alikua na msanii mwingine anaeitwa M to the P, na walitakiwa kuondoka leo kurudi Dar saa tatu asubuhi, lakini baada ya kuona hawatokei ndio wakaamua kwenda walipokuwa wamefikia na kuwakuta wote wawili wakiwa hawajielewi baada ya kujidunga madawa ya kulevya mengi (overdose), walipowahishwa hospitali, habari ndio ikawa hivi, kuwa Ngwea amefariki na M to the P yuko hoi hospitali
May God give you peace brother.

Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.