Katika majina ya wasanii waliotajwa leo hii kuwania tuzo za Kili 2013,
Ommy Dimpoz ameonekana kuongoza kwa kuchaguliwa katika categories 6,
akifuatiwa na Ben Pol ambae amechaguliwa katika sehemu 5 tofauti, Mwasiti 4
na Kala Jeremiah 4.
Mwaka huu pia mabadiliko yameonekana pale walipoamua kuongeza categories
kutoka 24 zilizokuwepo mwaka jana, mpaka kufikia 35 mwaka huu .

No comments:
Post a Comment