Justin Bieber huenda akaingia katika matatizo tena na vyombo vya
sheria hasa baada ya basi ambalo analitumia katika ziara yake kupekuliwa
na polisi na kukutwa na dawa za kulevya ambazo bado
hazijathibitishwa
kuwa ni aina gani.
Mpaka sasa bado hakuna mtu yoyote ambaye amekamatwa kwa tukio hili
kutokana na maelezo kuwa hakuna mtu aliyekuwepo katika basi wakati
linapekuliwa.
taarifa za chini ya kapeti zinaweka wazi kuwa, Polisi walipata
bastola ndani ya basi hilo na kwasasa wanadadisi kama mmiliki wake ana
kibali cha kuwa na silaha hiyo.
No comments:
Post a Comment