Cku kama ya leo tarehe 13/03 mwaka fulani rapper wa Bongo land anayesifika kwa mashairi makali sana katika game hii ya muziki hapa Bongo Hamis Mwinjuma au al-maarufu kama Mwana FA alizaliwa na leo ndo anasherehekea birthday yake hiyo na washkaji zake mbali mbali akiwemo mshkaji wake wa karibu sana AY.
AY akimmwagia FA soda cocacola
AY, FA, Salama Jabir na Mshkaji
No comments:
Post a Comment