Siku chache baada ya msanii wa tasnia ya filamu Bongo, Wema Abrahamu Sepetu kutangaza kuwa anamiliki kampuni mpya ya filamu"Endless Fame Film" leo mchana aliweza kufanya press conference na waandishi mbalimbali huku akitambulisha rasmi kampuni hiyo.
Kwa mujibu wa msanii huyu alisema kwamba kwasasa bado ofisi yake
haijaanza kufanya kazi ila inatarajia rasmi kuanza kazi mwezi wa tatu
mwaka huu.@Wema alisema....
Tazama picha za ofisi yake mpya 'Endless Fame Film' iliyoitambulisha leo rasmi.......

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment