Siku za hivi karibuni baada ya story na picha kusambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii na kusema kwamba msanii wa kizazi kipya "
Diamond Platnumz" ana mahusiano ya kimapenzi na mtangazaji wa Dtv "Vj Penny" sasa jana kupitia Instagram ya Diamond imethibitisha kwamba ni wapenzi baada ya kuweka picha ya Penny na kuandika:-
#MaBabyMama
#De'MumOfmyBlood #MamaYoundiamond
#YounPlatnumz #YoungPrezident..........
No comments:
Post a Comment