Breaking News
recent

Pictures: Video mpya ya Nay wa Mitego kufanyika Makaburini "Wamenichokoza"

Msanii rapper wa Bongo Fleva maarufu kama Nay wa mitengo baada ya kutoa ngoma yake inayofahamika kwa jina la Wamenichokoza sasa siku za hivi karibuni ndiyo alikuwa akifanya video ya ngoma hiyo na video hiyo amefanyia maeneo ya makaburini.Kwa hiyo wale mashabiki wa Nay kaa tayari kwa ujio mpya kutoka kwa Nay. 
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.