Msanii wa Hip Hop maarufu kama Kala Jeremiah baada ya kutoka na album
yake mpya inayofahamika kawa jina la Pasaka,sasa jana club maisha
aliweza kuizindua albam hiyo mpya kwa mashabiki wake huku akisindikizwa
na wasanii mbalimbali.
Nash Emcee
Darasa
Dullayo
Kala Jeremiah
Roma
Ben Pol
Kala & Jokate
Bongo Forest
Country boy
Roma
Check Out: Kala Jeremiah na baadhi ya wasanii wengine walivyopiga show ndani ya Maisha Club

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment