Warembo watatu wanaoonekana kwenye ngoma ya tyG@ "make it nasty" wanadai chuchu zao zimeonekana bila ruhusa yao.
Alissa Rae Ross, Azia Davis na Elizabeth Valsquez wamefungua mashtaka kwa kudai kuwa walipofanya usaili kwa ajili ya video hiyo kulikua na kipengele kisemacho "There will be NO nudityinvolved in the video, and all the girls will be tastefully shot".

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment