Muimbaji wa RnB Trey Songz aibuka na kukanusha vikali kuawa si yeye aliyepiga picha iliyoenea mitandaoni akiwa anambusu mwanaume mwenzie.
Trey amekuwa akizushiwa shoga kwa muda mrefu sasa lakini picha hiyo imewafanya watu wengi waamini kuwa jamaa siyo riziki. Picha hiyo inaonekana alichukuliwa kwenye siti ya nyuma ya gari ikionesha mtu anayefanana na Trey akimbusu mwanaume.
Baada ya kuiona picha hiyo Trey aliandika kupitia twitter:

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment