Msanii wa Filamu za Bongo Movie hapa nchini maarufu kama Ray,
siku za hivi karibuni baada ya kikao cha mwisho cha wasanii
kilichofanyika Leaders Club aliweza kuteuliwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa
Bongo Movie huku akifuatiwa na Irene Uwoya ambaye ni Makamu mwenyekiti,
bila kumsahau katibu mkuu mpya ni Chiki Mchoma.
Ray akiongea masaa machache baada ya kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bongo Movie
JB na Jackline Wolper
Irene Uwoya na Chiki Mchoma wakiwa katika furaha baada ya kuteuliwa kuwa viongozi wapya katika sanaa ya Bongo Movie.
No comments:
Post a Comment