Msanii wa kizazi kipya maarufu kama Shilole,siku ya jana baada ya
kutimiza miaka kadhaa aliweza kualika ndugu,jamaa na marafiki mbalimbali
kuja ku share birthday yake ambayo ilifanyika katika maeneo ya Leaders
Club usiku wa kuamkia leo na hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo zima.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment