Breaking News
recent

Sad News: Aliyekuwa msanii wa Bongo Movie "Mlopelo" afariki Dunia

Aliewahi kuwa muigizaji wa movie zakibongo kutoka kikundi cha sanaa cha kaole (mlopelo) afariki dunia mchana wa leo katika hospitali ya Temeka.msiba upo nyumbani kwao Temeke Wailes mtaa wa Boko. Kwa mijibu wa familia ya marehem Mlopelo atazikwa mapema kesho saa nne asubuh.
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.