Breaking News
recent

Rayuu wa Bongo movie aturingishia tattoo zake zenye utata alizozipiga akiwa mtupu

Msanii wa tasnia ya filam bongo anayejulikana kwa jina la Rayuu hivi karibuni alionekana amejichora tattoo katika sehemu ya mwili wake zikiwemo sehemu nyingine nyeti. Ye mwenyewe alipoulizwa kuhusu tattoo hizo alisema hazina ubaya wowote aliamua kujichora tu.

Msanii huyo alisema amejichora tattoo hizo sehemu mbali mbali kwenye mwili wake zikiwemo shingoni, kiunoni, kwenye matiti, shingoni, makalioni na mapajani na aliongezea kuwa anajisikia furaha kwa tattoo hizo kwasababu hajashawishiwa na mtu yeyote kujichora.

Na hii ndiyo tattoo iliyoko kiunoni mwake ambayo alidema ndo aliyoipenda kuliko zote alizojichora
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.