Industry ya entertainment Tanzania
is still a boy’s town ambapo wanaume bado wanapata mapato makubwa kuliko
wanawake especially katika filamu. Lakini usijari, still bado mademu wana
uwakilishi mzuri kwa upande wa Top female stars.
Katika kiwanda ambacho kwa sasa kinaongoza kimapato katika upande wa
burudani – men are still leading for earning more money lakini girls are not
too far behind.
Your leading entertainment magazine has done its research kwa kuongea na na
producers mbalimbali wa movies na waigizaji wenyewe
kuhusu malipo wanayo-demand na kulipwa per movie.
Here are the 5 girls who run the film industry kwa sasa kwa kufanya vizuri
kwenye movie industry kwa kuongoza kwa mauzo ya filamu na kulipwa mkwanja mrefu
zaidi – talking about their earnings na mambo yote yanayoizunguka tasnia ya
filamu Tanzania.
Ukitaka kujua nani analipwa mkwanja zaidi jipatie copy yako mpya ya BaabKubwa Magazine
mtaani kwako.
No comments:
Post a Comment