Baada ya kutoka na ngoma ya Chapia chini ya Mensen Selekta sasa msanii huyu amekuja na ngoma nyingine kali inayokwenda kwa jina la "Barida"baada ya kuiachia ngoma hii katika vituo mbalimbali vya Radio siku za hivi karibuni.Tash aliweza kufunguka na kueleza sababu za kuipa jina la Barida alisema kwamba kipindi yupo studio naMensen ngoma hii ilikuwa kama inataka kutoka ngoma mbili sasa hapo ndipo wakaona ngoja waipe jina la Baridakwani ngoma hiyo hata mtu akiwa zake Club na sehemu yoyote lazima anyajuke na aanze kuicheza.Hayo ndiyo maneno ya Tash baada ya kufunguka kuhusiana na ngoma yake mpya "Barida.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment