Ukizungumzia Team nzima ya Maybac music basi mtu mzima Meek mill lazima awepo katika label hiyo ambayo inamilikiwa na msanii ambaye alikinukisha mbaya ile siku ya Fiesta huyu si mwingine ni Rozay Boss .Sasa basi najua kwamba ulikuwa na kiraruraru cha kushuhudia kichupa kipya cha mtu mzima Meek mill hiki hapo ebu fanya kama unaingia hapo uone jinsi alivyofanya yake daaahhhh!!!!! kweli Maybac nomaaa.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment