Najua nikimzungumzia mtu mzima Fareed Kubanda a.k.a Fid Q basi
utakuwa unamfahamu kama ni moja kati ya wasanii ambao wanatokea pande za
Rock City Mwanza Mwanza pia ni msanii mwenye mashairi mazuri ya hip hop
na ndiyo maana ana hits na ngoma kali kibao hapa Tzee na zinakubali ile
mbaya.Tunafahamu kwamba Fid Q ana kipindi chake ambacho kinafahamika
kwa jina la Fid freestyle huwa kinarushwa siku ya ijumaa sasa
wiki hii katika kipindi chake atakuwa na mtu mzima JCB kama unavyoona
hapo walikuwa waki record kipindi hicho cha Fid freestyle.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment