Picha hii sasa ndipo ilileta maswali mengi sana kwa mashabiki wa muziki walijiuliza je
mtu mzima Chris brown amerudiana na Rihanna katika Uhusiano wao baada ya
kuonekana katika show ya Jay z ambayo ilifanya katika ukumbi wa Barclays
Center.Sasa baada ya Karrueche kuona hivyo aliamua kuandika ujumbe katika
ukurasa wake wa twitter
Chris Brown na Karrueche wamwagana
Chris brown akiwa na Karrueche enzi zile
No comments:
Post a Comment