Breaking News
recent

TID: Alikiba is so stupid...!!!

Baada ya kukabiliwa na scandal kubwa ya kupanga njama ya kumuua Alikiba, Khalid Mohamed a.k.a TID amezungumza na kusema Alikiba na mama yake wamekosa la kufanya na anawaona wajinga wakubwa. Akizungumza kwenye kipindi cha Tagz weekly cha DTV, msanii huyo amesema huenda Alikiba alienda kwa mganga na akaambiwa kuwa Tid anataka kukuuwa.Msanii huyo aliongeza kuwa kutokana na kusingiziwa kitu asikokijua kamwe haiwezi siku ikatokea akampigia simu tena Alikiba aliyekuwa mshikaji wake wa karibu.

"Siwezi naogopa" alisema, Naweza kumpigia simu nikaambiwa sas ndo namtafuta ili nimuue,achana nae tu aendelee na vitu vyake, because i felt he and his family were up to it,mama yake namuona sana ila najua yeye hanijui na hajawahi kuniona.Alikiba kwa kitu gani ambacho amefanya yeye mpaka mimi nimfanyie baya?Nipo na watu kibao pale nao eti wamejilist kuwa nataka kuwaua sas mimi hela ngapi nitatoa kuwaua watu wote wale?For what purpose watu kibao wamejilist, am not gonna tell you what reaction am gonna do, am keeping it myself, i ain't gonna talk about it, seriously they are stupid, yaani they should come up withthe best concept".
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.