Breaking News
recent

Lady Gaga atoa Perfume yake iitwayo Fame

Hivi karibuni Lady Gaga ameamua kufuata nyayo za waimbaji wenzake Jennifer Lopez, Justin Bieber, Katy Perry na Britney Spears kwa kuanzisha perfume yake iitwayo FAME. Akiongea na mtandao wa Access Hollywood jana jijini New York Gaga amesema imewachukua wanasayansi miezi 6 kufikiria teknolojia ya perfume isiyoacha uchafu upulizapo kwenye nguo (non-staining) kama ilivyo Fame.
"I don't think that women need to smell interesting" I have interesting mind but i want to smell like slut"...I mean it in a lovely way like the way your husband makes you feel when you've had a really long day and he knows exactly what to say to you to make you feel sexy", aliiambia CNN.

Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.