Habari zilizotufikia ni kwamba Jafarai baada ya kufanya kazi za muziki
kwa muda mrefu sana hapa Tanzania hata nje ya bongo.Sasa amekaa na
kuwaza kwamba kwanini asifanye kitu ambacho hata mashabiki wake watampa
support juu ya kitu hiko anachotaka kukiifanya au kukianzisha hapa
bongo.Sasa juzi juzi tulisikia tetezi kwamba ana mchakato wa kuanzisha
car wash yake Je ni kweli.Huyu hapa anafunguka kama ifuatavyo kusema
kweli ndiyo nina mchakato wa kufungua car wash yangu ambayo itakuwa
inapatikana maeneo ya mikocheni Oil com karibia na TMJ lakini
nitaifungua rasmi jumapili ijayo.ninachoomba wasanii hata mashabiki
wangu waje katika Car wash yangu ili tupeane support.na kuhusiana na
muziki nitakuwa ninafanya kama kawaida.Hayo ndiyo maneno ya mtu mzima Jafarai baada ya kufunguka kuhusiana na kufungua car wash yake.
No comments:
Post a Comment