Msanii anayejulikana kwa jina la Dully skyes anayetamba
na nyimbo inayofahamika kwa jina la mtoto wa kariakoo.Ameamua kufungua
website yake mpya ambayo itakuwa akionyesha kazi zake pamoja na burudani
mbalimbali anazozifanya kuanzia video,muziki wa hapa bongo hata kazi za nje ya
bongo pia ukitaka kazi zake dully kwa sasa unaweza ukaingia www.dulisyx.com.Huo
ndiyo mtandao mpya wa msanii anayejulikana kwa jina la Dully skyes.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment