Dah!
kiukweli nimesikitishwa sana na taarifa za mwanadada huyu kujinadi kua
anamahusiano na mimi ya kimamapenzi na eti tunamipango mingi ikiwemo ya Harusi
ndani yake... dah! kiukweli nimejiskia vibaya sana Kwani taarifa azitoazo
msichana huyo si za kweli kabisa, Nilikutana nae Malindi akiwa kama mmoja ya
Waandaaji wa tamasha hilo niLIlokwenda kutumbuiza na mbali ya hayo pia alikua
ni mdogo wa Mwenyeji wangu wa Malindi, hivyo nilikua nikimchukulia kama dada
yangu kumbe mwenzangu alikua anamipango mingine...kiukweli nimejiskia vibaya,
Nimehisi kama Ukarimu wangu kwake na kuwa nae huru kama mmoja ya wenyeji wangu
umeniponza, badala yake anatumia picha tulizopiga nae kwa namana
nyingine....Ukweli ni kwamba MWANADADA HUYO SINA MAHUSIANO NAE YA KIMAPENZI
KABISA.... MPENZI WANGU NAAMINI KILA MTU ANAMJUA.....
Haya ndio maneno aliyosema Diamond kuhusu tuhuma yake iliyoandikwa na gazeti la Risasi ya kua na demu mpya
HAYA NDIO MANENO ALIYOANDIKA KWENYE WEBSITE YAKE LEO:
No comments:
Post a Comment