Kutoka area za 254 nairobi tunakutana na vijana ambao kwa ukweli
wanafanya vizuri katika industries ya muziki hapa Africa hata nchini
kwao kenya hawa si wengine nawazungumzia Camp mulla.Kundi hili
linatarajia kuachia album yao mpya kitaani ambayo katika cover wameipa jina la FUNKY TOWN na wanazindua siku ya jumamosi at the Nyayo National Stadium safaricom
"Their debut album, 'Funky Town' will be officially released this
Saturday (22nd September 2012) after their performance at the Safaricom
7s at the Nyayo National Stadium and they are almost as excited as the
fans, maybe even more".

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment