Msanii anaye hits na kibao cha nidanganye danganye yeye na mkewe Leila wamefanikiwa kupata mtoto wa kike jana katika hospital ya St. monica
katika nyakati za jioni.tulimuliza Je shetta mtoto wako ungependa kumpa
jina gani shetta alifunguka kama ifuatavyo kusema kweli nitampa jina la
kyla kwasababu toka mke wangu anajauzito wangu nilimwambia kama
tukifanikiwa kupata mtoto wa kike basi tutampa jina la Kyla.Na ndiyo
maana nimempa jina ilo pia napenda kutoa shukrani kwa mwenyezi mungu
kunipatia mtoto na ndio wasaa wangu wa kuitwa Baba wa familia.
Exclusive: Shetta ajaaliwa mtoto wa kike
Shetta na mkewe Leila
No comments:
Post a Comment