Andres Iniesta - European best player of the year 2011/12
Hapo jana tumeshuhudia midfielder wa Barca na timu ya taifa ya Spain akitangazwa kua winner wa tuzo ya Best player of the year 2011/12 wa Uefa huku akiwapiga chini wenzake wawili ambao ni Lionel Messi wa Barca na timu ya taifa ya Argentina na Cristiano Ronaldo wa Real Madrid na timu ya taifa ya Portugal.....!
No comments:
Post a Comment