Mtoto wa Legendary Sylvester Stallone maarufu kama Rambo aitwaye Sage Stallone amefariki dunia mnamo juzi na alikutwa nyumbani kwake akiwa katika hali hiyo ya umauti. Sage Stallone amefariki akiwa na umri wa miaka 36, R.I.P Sage Stallone.....!
Hapa ni Sage Stallone na baba yake Sylvester Stallone (Rambo)

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment