AFYA ya staa wa filamu za Kibongo, Sadick Juma Kilowoko ‘Sajuki’
imetengemaa ambapo sasa shavu dodo baada ya kupata matibabu ya kutosha
nchini India alikokwenda kutibiwa hivi karibuni, Amani limemshuhudia.
HABARI ZAIDI www.globalpublishers.info
No comments:
Post a Comment