Ni baada ya kuitandika Italy kwa mabao 4-0, mabao yalipachikwa nyavuni na David Silva, Jordi Alba, Fernando Torres na Juan Mata. kiukweli haikua fainali bali ilikua inaboa mda wote wanacheza Spain pekee na pia fainali gani ina magoli mengi namna hii...?
No comments:
Post a Comment