Breaking News
recent

Happy Birthday Nelson Mandela...!

Leo tarehe 18 july raisi wa zamani wa South africa Nelson Mandela ametimiza miaka 94 tangu kuzaliwa kwake mwaka 1918, na kwa kumfariji mzee huyo ambaye alishawahi kufungwa jela kwa takribani miaka 27 watu mbalimbali walimwimbia mzee huyo wimbo wa Happy birthday leo mnamo mida ya saa 08:30 asubuhi...!
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.