M
M2 mzima Diamond alizidiwa ghafla na kukimbizwa hospital kuchekiwa hasa tatizo lilikua nini? Na hii message hapo chini aliiandika yeye kum2mia Dj Choka baada ya kupata nafuu na kuruhusiwa kurudi nyumbani..,(but now mzazi anaendelea vizuri kidogo)
"Dah
nilikuwa nakohoa sana ikasababisha hadi homa, leo nikaamka nimezidiwa
sana mwanangu ndo wakanilaza na ikabidi nifanyiwe vipimo vikubwa. ndio
wakanicheki moyo labda unatatizo, wakanicheki TB na damu pamoja na
maradhi mengine wakaona niko poa. Wamesema nilifanya show kwa mda mrefu
so nikawa na experience hali ya hewa ya sehemu tofauti tofauti mara kwa
mara sometimes vijijini so hali ya hewa vumbi pia imezingua"

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment