Breaking News
recent

Chris Brown ashine tuzo za BET...!

M2 mzima Chris Brown katika tuzo za BET alishine baada ya kushinda tuzo 3 tofauti na wanamuziki wengine, Tuzo hizo ni Best RnB artist, Best Rnb song na Best RnB Album. Pia tukashuhudia na mtu mwenye bifu na Chris Breezy nae ni Drake a.k.a Drizzy nae akichukua moja ya Best Raper...!
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.