Breaking News
recent

Mwana FA atangaza vita na Wezi...!

Ni baada ya kuibiwa baadhi ya vifaa katika gari yake msanii Hamis Mwinjuma (Mwana FA) alitangaza kwamba kokote atakapomkuta mwizi anapigwa basi lazima amalizie hasira zake hapo na yeyote atakae mzuiya basi atapigwa yeye.(gari yake ilinyofolewa taa za mbele, za nyuma na radio)...!
Hapo juu ni gari lake likiwa limenyofolewa taa za mbele na kule juu kabisa likiwa limenyofolewa radio, na shughuli hii yote ilifanyika usiku wa kuamkia jumaa2...!
Na hapa gari la Mwana FA likiwa limenyofolewa taa za nyuma...!
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.