Kesi ya Lulu yapigwa kalenda mpaka Julai 9 2012...! Mohamed Jaku 4:58 PM Mohamed Jaku Mnamo tarehe 25/06/2012 katika mahakama ya kisutu tulishuhudia kesi ya mauaji inayomkabili msanii Elizabeth Michael (Lulu) ikipiahirishwa mpaka tarehe 09/07/2012 kwa mahakama kuamua kuendelea kuchunguza miaka halisi ya mtuhumiwa huyo...! Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest
No comments:
Post a Comment