Mnamo tarehe 6 june 2012 katika jumba la Bigbrother stargame tulishuhudia ugomvi kati ya DKB kutoka Ghana na Zainab,ambapo DKB alishikwa na hasira na kumzaba makofi Zainab ni baada ya Zainab kwenda kuchungulia/kufungua mlango wakati DKB anaoga but wawili hao walitolewa wote kwenye jumba hilo...!
No comments:
Post a Comment