Breaking News
recent

Lijue tamko la Sir Alex Ferguson kuhusu Javier Hernandez "Chicharito"...!

Jana kocha mkuu wa Manchester United Sir Alex Ferguson alikataa katu katu kitendo cha mshambuliaji wake machachari Javier Hernandez "Chicharito" kuitwa kwenye kikosi cha Mexico kitakacho shiriki kwenye mashindano ya Olympic huko England mnamo mwezi August mwaka huu...!
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.