Kutoka mitandaoni leo, Stori ya msanii wa bongo fleva Diamond
Platnumz na Wasanii wa WCB wamtembelea nyumbani kwake Rais Mstaafu wa
awamu ya nne Jakaya Kikwete.
Diamond aliambatana na wasanii Rich Mavoko, Harmonize, Rayvanny, Q Boy Msafi na meneja wao Salam na Babu Tale.
No comments:
Post a Comment