Breaking News
recent

NEW TRACK: Amini ft Linah - Mtima wangu

                
Wasanii wa kizazi kipya kutoka THT almaarufu kama Linah na Amini baada ya kutamba na ngoma zao kali hapampaka kupelekea mashabiki kukuali kazi zao sasa 
Latest info ambayo tunafahamu hivi sasa kutoka kwa wasanii hawa ni kwamba walifanya collabo ya ngoma yao mpya chini ya Producer C9.

Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.