baada ya mtu mzima Diamond kuvuta gari aina ya Land Cruiser Prado yenye
thamani ya shilingi milioni za kitanzania 60, rafiki yake wa karibu,
ambae mara zote ukimkosa Diamond, basi ujue atakua na
Ommy karibu, namzungumzia Ommy Dimpoz, nae amefata nyao kwa kujivutia gari
aina ya Rav4 new model yenye thamani ya shilingi millioni 27.
Dimpoz amesema,
hajanunua kwa ajili ya show off, bali litamsaidia kwa ajili ya kazi
zake, na kwa kuwa linanafasi hata madancer wa poz kwa poz entertainment
wataenea
Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment