Breaking News
recent

ScootEBikes mpya wanazotambiana wasanii wa mbele mwaka huu.

Chris Brown amekuwa miongoni mwa wasanii waliojinunulia ScootEBikes na kuibadilisha kabisa muonekano wake na inasemekana upigaji wa rangi wa ScootEBikes inagharama kuliko ScootEBikes yenyewe.
Kupiga rangi kama ya Brezzy ni dola $2,500 kama milioni tani za kibongo na gharama ya ScootEBikes ni dola $1,500.
Watu maarufu kama Floyd Mayweather ,Diddy, The Game, French Montana, Ray J na Soulja Boy tayari wanazo ScootEBikes.

Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.