Rapa Lil Wayne ametajwa kuongoza orodha ya wasanii wanaotumia maneno machafu zaidi kwenye nyimbo zao “foul-mouthed artist”.
Digital music streaming service Deezer imemtaja rapa Lil Wayne baada ya kuangali na kusikiliza nyimbo milioni 35 walizonazo kwenye system yao. Lil Wayne ana nyimbo mbili kwenye nyimbo 10 zenye matusi zaidi duniani.
Wimbo wake wa ‘Beat the S**t’ unamatusi 188 akifuatiwa na rapa Snoop Dogg.
Hii ndio orodha ya Deezer ya wasanii kumi wenye nyimbo zenye maneno machafu zaidi.
- Lil Wayne
- Snoop Dogg
- Jay Z
- 2Pac
- DMX
- Eminem
- Rick Ross
- Busta Rhymes
- 50 Cent
- Ice Cube

No comments:
Post a Comment