Breaking News
recent

Nicki Minaj aiomba mahakama isimpeleke Meek Mill jela tena,ajitolea kumnyosha.

Nicki Minaj ametoa ushahidi juu ya maisha ya Meek Mill na kwanini jaji hatakiwi kumpa adhabu kubwa ya kurudi jela kwa kosa la kuvunja masharti ya mahakama.

Nicki Minaj amesema ” mimi ndio ntakaye kuwa na lala mwenyewe akienda jela,najua Meek Mill is Not Perfect ila huta amini jinsi alivyobadilika sasa”
Nicki Minaj ameomba mahakama impe nafasi ya kumsaidia Meek Mill kufata masharti ya mahakama. Wakili wa Meek Mill amesema biashara ya muziki ina mpa msongo wa mawazo msanii huyu.
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.