Lichaya sarafu hizo kutengenezwa 60,000 zilizuzika ndani ya saa moja tu, na kila sarafu ikiuzwa bei ambayo ni chini ya Euro 10.
Sarafu hiyo inamuonyesha Van Persie aki dive upande mmoja na upande wa pili ikiwa na picha ya kichwa cha simba dume.
Sarafu hiyo sio pesa, bali ni ukumbusho tu ambapo shabiki alienunua
akifanikiwa kuwitunza vizuri ana uwezo wa kupata fedha nyingi baadae
pale ambapo ikiwa inahitajika katika makumbusho miaka ijayo.



No comments:
Post a Comment