Wapenzi wa simu za ‘kishua’ za iPhone
mpo? Huenda toleo jipya la simu hizi likaingia mtaani soon.
Kumekuwepo
na tetesi kwenye mitandao kuhusu simu hiyo lakini kikubwa zaidi watu
wengi wanachokitazamia ni ukubwa wa screen kulinganisha na simu za hapo
awali. Inaweza kuingia sokoni mwezi ujao.

No comments:
Post a Comment